Exodus 9:13

Pigo La Saba: Mvua Ya Mawe

13 aKisha Bwana akamwambia Mose, “Amka mapema asubuhi, usimame mbele ya Farao, umwambie, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Waebrania: Waachie watu wangu waende, ili kwamba waweze kuniabudu,
Copyright information for SwhNEN